26/01/2026
JEUNESSES LEADERS POUR LA PAIX À UVIRA ET FIZI *axce fizi*
_______________________
habari ya masikitiko
_____________________/
sisi vijana wa jamihi ya wa bembe tunayo masikitiko makubwa , kwa pigo la kamanda aliye mugombowa ayati Gen , bwana namtaga , kwa mpiga President wa jeunesses mu groupement incorporee ya ville ya uvira bwana Gentil tawimbi ngabo , kwa makosa ya kumutishiya ahache madaraka sababu yeye siyo , bali , ikumbuke K**a siyo mara yakwanza kwa msimamizi uyo wavijana ku kabiliwa na majambazi ; kwa kumutishiya mahisha nakumuhiba mara kwa mara .
camand. ana tajwa kuwa msari wa mbele kwakusumbuwa rahiya *kuhiba ,mahuwaji * na apa juzi alitaka kumuhuwa gen.anaye pendwa na watu , fyeka aduwi jems , na kuzarahu ma jemadari wa kivita kuwa awawezi SEMA kitu mbele yake ikiwemo na .
sisi vijana wajamihi ya kibembe atutaki fujo na bafuliru, tunataka amani yandugu yetu tunajuwa plan zabo nikumuhuwa , bile byakusema Ni M23 Ni bongo sisi tunamujuwa vizuri Sana , K**a ako na ma conflit personnel zake atutaki atutaki , natunalahani yaliyo tokeya , kwasasa ana tafutwa na wazalendo wa fabb !!!
pour le jeunnes mbondo fizi _uvira