Brother khalid juma mukhtar

Brother khalid juma mukhtar Photography

Hekima ni mwanga unaoongoza njia yetu. Karibu kwenye Iman TV upate ujumbe wa kukujenga kila siku
09/05/2026

Hekima ni mwanga unaoongoza njia yetu. Karibu kwenye Iman TV upate ujumbe wa kukujenga kila siku

05/05/2026
23/04/2026
https://youtube.com/-j7v?si=Kl7wnwYlA6JfpY3W
18/04/2026

https://youtube.com/-j7v?si=Kl7wnwYlA6JfpY3W

BROTHER KHALID TV 📺 CHANNEL/QURAAN REACTION /WASIYA KWA VIJANA/HADITH/QASWIIDA Remix Audio And VEDIO content. 🇰🇪🇰🇮🇰🇳🇱🇹🇱🇸

*Assalam alaykum warahmatullah wabarakaatuh* Ndugu yangu nasaa zangu leo ni kuwafanyia wema wazazi wawili tambua kuridhi...
16/04/2026

*Assalam alaykum warahmatullah wabarakaatuh*

Ndugu yangu nasaa zangu leo ni kuwafanyia wema wazazi wawili tambua kuridhia kwa wazazi kukopamoja na kuridhiwa na Allah ikiwa Allah amekujalia wazazi wako wapo basi watunze na waombee dua na ikiwa washatangulia basi waombee dua hakika hilo miongoni mwa kuendelea matendo yao mema yaa Rabbi wasamehe ndugu zetu waliotangulia na utukutanishe nao peponi

08/04/2026

UMETUACHIA ZAWADI NONO

"Allah amekupenda sana, amekupa Qur ani tukufu, umehifadhi kitabu chake kitukufu . ...

Mohammed Said Zamzam, una umri mdogo sana, Umekuwa msindi leo kwenye mashindano ya kimataifa ya Qur ani tukufu yaliyofanyika hapa uwanja wa Mkapa Dar es salaam ....
Allah awajaze mema wazazi na walimu wako huko Mombasa ....

Unarudi na utapokelewa Mombasa ukiwa na zawadi ya maelfu ya Dola na zawadi nyingine nzuri zaidi kwa wazazi, walezi na walimu wako ambayo ni heshima kubwa...

Kwa upande wetu hapa Tanzania na hasa mimi Harith Nkussa umeniachia zawadi nono zaidi ya fundisho na ukumbusho kivitendo kwamba 'Inawezekana'...

Shukran kwa zawadi hii adhimu sana ambayo nitaibeba kwa heshima kubwa ambayo nitaifikisha salama nyumbani kwangu na nitawakabidhi wanangu na familia yangu na kuwaomba waihifadhi zawadi hii nono kwenye myoyo yao"......

Dr. Harirh Nkussa
Msemaji Maalum wa M***i
Jumanne 7.4.2026
Dar es salaam

Address

Ww. Onlinequrantv. Com
Isiolo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brother khalid juma mukhtar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share