29/05/2026
HEARTBREAKINGππ:Mnakumbuka huyu Mzee akipiga nduru pale Utumishi Girls Academy jana akitaka kuambiwa penye msichana wake ako? Kumbe nafsi ilikua ndani yake ya kuonyesha alikufia kwa moto,pole sana iliniuma sana kuona baba akilia kwa uchungu ,mpe pole akiππ.