Galeb k ngeno

Galeb k ngeno Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Galeb k ngeno, Grocers, Follow me at TikTok on cavio star mwenyewe 1221and like it, Litein.

17/03/2026
Mwimbaji wa Bongofleva toka Konde Music Worldwide, Harmonize ametangaza ujio wa ngoma yake na Rapa wa Marekani, Nicki Mi...
20/07/2023

Mwimbaji wa Bongofleva toka Konde Music Worldwide, Harmonize ametangaza ujio wa ngoma yake na Rapa wa Marekani, Nicki Minaj.

Mwaka 2009 Nicki Minaj alisainiwa na Lil Wayne chini Young Money Entertainment na kuvuma kimuziki duniani.

Follow : Kivu flever

WA BONGO NI WAJINGA SANA MBONA BURNABOY NIGERIANAYE NI K**A DIAMONDTanzania ni Nchi Ambayo Kila Mtu Anajiona Ni Msanii A...
20/07/2023

WA BONGO NI WAJINGA SANA
MBONA BURNABOY NIGERIA
NAYE NI K**A DIAMOND

Tanzania ni Nchi Ambayo Kila Mtu Anajiona Ni Msanii Ama anakuwa mziki Ndio maana Kwenda Kimataifa Ni Vigumu sana naongelea Dar salam
Mana page nyingi za tz siyo za media bali kuna ma presenter, blogger,ba reposter ndo wengi Asa kazi yao ni kushinda online na kushinda wakitafuta mambo ya ujinga zaidi pindi msanii wao mkubwa anaachia wimbo wao kazi ni kuanza Kujihuliza Ame copy kwa msanii gani ili apate cha kusema
Level yenye Muko hemo sio tena ya kufanya mambo k**a na ayo kwasasa ni kuangalia wapi munatakiwa kwenda

Diamond ni msanii mungemushika mkono na kumpa baraka zenu ila nyie tena ndo Muna mpondaga Amna msani k**a Diamond,Alikiba, Harmonize kwa diamond Awana kitu mpk munafanya msani wenu kurudisha mawazo nyuma na kuanza kufikiria kuanza shindana na Alikiba ambaye ajuwi ata kuandika wimbo ndio maana kawajaza wasanii wenye uwezo wa kuandika nyimbo ili wawe na muandikia yeye nyimbo huku wao wakiwa maghetoni k**a Tommy flavour, k2ga na vanillah wapo king's music kwa faida za alikiba
Kwa kumuandikia nyimbo tu wao akuna kutowa ngoma
Wasanii wakubwa k**a hao nyimbo mbili kwa mwaka si nikitu bure

Harmonize ni msanii mkubwa ambaye ana kipaji cha mziki ila ana ile bahati ya kuchukuwa matunzo mana toka atoke Wcb akuna tunzo kubwa acha beba pia naye ana ndani Mzuri ila amemunyima promo ili haende ama basi amupee nafuasi ya kujibeba

Rayvanny ni msanii mzuri ila naye sifa ndo zimemuponza mpk kuja tena bongo kuanza fanya bifu za mapenzi huo ni upuuzi

Sasa diamond ana nyota ila ana kipaji tena amejaliwa na ujanja na k**a si wake ni watu wanao muzunguka ndo wana maujanja

Nigeria kuna Burna boy ni msanii wa kwanza Nigeria anaye copy sana beat za kitambo na kuzitumia kwa sasa ila nchini mwao wala awamuongeleaki na hivi yeye ndo anatambulisha Nigeria
Wizkid naye pia ni msanii wa kuchukuwa nyimbo za zamani Ghana na kuzitumia

Ila mbona wao huwa awamuongelewaki vibaya k**a Munavyo muongelea di

Address

Follow Me At TikTok On Cavio Star Mwenyewe 1221and Like It
Litein

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Galeb k ngeno posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category