08/02/2024
πππππππ: πππππ πππ π
ππ
HII NDIO YA LEO WADAU
Najua ni late but weka LIKEππ½
ππππ π
Tito ashaenda na Imelia amerudi kwa nyumba,anauliza Becky huyu kijana Tito ana nini,,amekaa na Lexy hadi amekua na tabia k**a za Lexy. Becky alimwambia usijali,huyo ako tu na zake na Imelia ashawapromise,one day watahama hapa na wataishi vizuri.
Tito na yeye alikuja kwa Lexy,akamwambia manze nimechoma,nimeenda kwa Sanchez nikapata kumbe Becky alilala huko,manze na hasira nikavuruga sana. Lexy akamuuliza wah na mbona Becky alale kwa Sanchez? Tito akamwambia ni venye wewe ulituma mtu akaharibu kwa Becky. Lexy akafurahi akasema wau,kumbe plan iliwork,lakini Tito akamwambia umefanya ushachoma,Becky hatawai niamini tena. Lexy alimwambia kazi rahisi hiyo,utarudi huko useme venye uko soo sorry sana na ju sai wanakapitia,nakubuyia shopping uende nayo ubeshte utarudi. Wueh,yuaitwa Tito atawezana kweli?
Sasa lawyer wa Trisha alimwambia check tuseme will ni fake tushtaki lawyer wa Imelia na hapo tutawin,lakini punde si punde, Imelia na wakili akafika,kisha Trisha akasema lazima wakili apitie will ndio isomwe. Lawyer wa Trisha alipitia mbio mbio na sasa will ikaanza kusomwa as follows.
Kwa will nasema vizuri sana, all properties under Moses's nae to be handed to Imelia. Imelia akafurahi,lakini lawyer akaendelea kusoma akasema apart from nyumba ndio itabaki kwa Trisha. Kila mali imeenda kwa Imelia lakini nyumba tu ndio imebaki kwa TrishaπππJunior,rada?
Sanchez hata k**a ameumia aliambia Becky atamanage kuenda kumsaidia hao kutengeneza kisha akauliza Becky,huyu lexy tumchukulia hatua gani? Becky akamwambia mimi hata sina haja na Lexy,stress yangu ni vile nitatengeneza nyumba. Sanchez akamwambia I think Lexy chenye anafanya ni anataka mureact,so better tuwe silent tu ama tutafute ujanja ingine tusireact kwa kila kitu anafanya.Becky alimwambia iko sawa,that makes sense sana. Kisha wakati Sanchez anatembea,Becky akakumbuka venye aligongwa jana,akaanza kucheka tuπ