Nelson Deri Kahindi

Nelson Deri Kahindi advertising,creating awareness to public

If you are in need of sandy beaches plots, there are 2 acres in mida opposite Temple Point .For more, call 0710775167
12/05/2026

If you are in need of sandy beaches plots, there are 2 acres in mida opposite Temple Point .For more, call 0710775167

Congratulations to me
11/05/2026

Congratulations to me

1 more certificate
11/05/2026

1 more certificate

07/05/2026

2027 yaja na vijana tumekaa kuangalia.
Wazee wamejisajili km wagombea viti mbali mbali sisi tuko tu ,sasa tutabadilisha vipi uongozi kutoka mbaya mpaka uwe mzuri.
Na tujukumike hata km hatujafikia kuwa viongozi lkn natusimame kidete tuhakikishe wale wanachaguliwa wataleta mabadiliko ya kimaendeleo,kiuchumi,elimu haya yote yanawezekani lkn lzm vijana tujitoe kikamilifu kutaka kujua hata wale ambao wanaazma ya uongozi ni jukumu letu kuanika viongozi wambaya kwa kuwatangaza ili watu wawajue.
Vijana tusinyamaze jambo la utawala linatuhusu sote Genesis 1:28

07/05/2026

Tuondoe dhana yakuwa hatuwezi mpka tuwe watu wa kuweza .
Inawezekanaje?

07/05/2026

Kulingana na uchunguzi wangu hakujawahi kuwa na uchumi rahisi hapa duniani.
Let's remove fix mind set
And work towards our future

Vijana n kazi hakuna ama ni uchumi umekuwa mgumu
07/05/2026

Vijana n kazi hakuna ama ni uchumi umekuwa mgumu

Environmental conservation Kutunza mazingira n muhimu
07/05/2026

Environmental conservation
Kutunza mazingira n muhimu

Youth as agent oc change 2 Chronicles 7:14-15
07/05/2026

Youth as agent oc change
2 Chronicles 7:14-15

07/05/2026

I'm in the top 20% of Stellah lyn fans. I earned 116 points on their weekly engagement list last week.

Sisi husema 1tam,2tam lkn huyu yuasema 3tam kbisa
06/05/2026

Sisi husema 1tam,2tam lkn huyu yuasema 3tam kbisa

Address

Watamu Timboni
Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nelson Deri Kahindi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category