24/06/2025
List ya watu udhani Dunia Ni Yaoπππ
1.Wife Wa Polisi
2.Wafuasi Wa prophet Awour
3.Watu Wa SDA
4.Madem Wa M-pesa za watu
5.caretaker Wa plot
6.mkamba Na ufunguo Wa maji
7.watu huvaa miwani
8.Wajaluo
9.wale hufanya kazi Kwa CDF
10.Wife Wa chief
11.KDF
12.wanafunzi Wa campus
13.mafuns Wa man u na arsenal π
14.walimu Wa Pp1
15:Madem wa wasaniiππππ
16.Madam wa nyumba kumi
17.Watoto wa mwalimu
18.Dem mluhya ametoka coast
19.Watoto wa pastor
20.Jamaa hupiga keyboard kwa kanisa
Kasikie vibaya Na huko alaItz Emmanuel Emmanuel Emmanuel EmmanuelItz Emmanuel Itz Emmanuel