Nguvu ya neno la MUNGU

Nguvu ya neno la MUNGU TUJIFUNZE NENO LA MUNGU, KWA UNDANI ZAIDI

Mungu akupe neema zaidi mtu wa Mungu kwasababu kazi unayo ifanya ninjema mno 🙏
08/03/2025

Mungu akupe neema zaidi mtu wa Mungu kwasababu kazi unayo ifanya ninjema mno 🙏

Baraka za MUNGU zinatafufwa kwa bidii, na nguvu isiyo yakawaida, ukisoma mwanzo 32:24:29 Ukisoma kitabu hichohapo juu  u...
06/03/2025

Baraka za MUNGU zinatafufwa kwa bidii, na nguvu isiyo yakawaida, ukisoma mwanzo 32:24:29

Ukisoma kitabu hichohapo juu utaona jinsi gani yakobo ana pambana usiku kucha iliapate kopokea baraka zake , alafu wewe unakaatu bila kuchukua hatua na unataka kumiliki barakazako 🤔🤔🤔....

Nafikiri inaweza kuchukua muda mrefu sana pasina kuonea matokeo yeyote kwasababu mtu anae itaji kitu inambidi yeye mwenyewe kukipigania kwamoyo nguvu na imani vilevile akuna baraka zinakuja pasina wewe kuzitafuta ndio maana ukisoma....

Kumbukumbu la torati 28:1:19 utakutana maagizo mengi ya Mungu,naahadi chungu nzima k**a ukikubali kuzifwata nakuzi tii Mungu ni mwaminifu ata timiza maishani mwako, usipende injili za kukufurahisha angali unatenda maovu kubali kuwa kwenye mstari ambao una faa iliuweze kuona matokeo unayo yaitaji. Nawapenda sana, na mbaarikiwe zaidi 🙏.

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nguvu ya neno la MUNGU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category