14/12/2024
💫🤣🤣Aki Leo nimekaa Nikakumbuka Kuna siku fulani hapo tukiwa primary Blessed Elite Academy huku Molo Michatha ya chini, 😆kwetu tulichinja kuku na tukapika chapo jioni. Sasa next day lazima ningebeba lunch nikienda chuo alafu nyakati hizo, lunchbox ilikua kasuku ama ya kimbo zile Mikebe ya mafuta si mnajua tu hizo mikebe? 🙄 Sasa kupata chapo ama nyama ya kuku wakati huo ilikua balaa🤔Next day Nakumbuka hadi chopi wa daro, Isaya alinifanyia assigment ndo nimsort ikifika lunch. naye prefect, Faith akanitoa kwa list ya noise makers. Madem wote daro walikua wangu siku hio mpaka Milkah, akadai nikue chali yake,Sa vile ilifika lunch kila mtu nilimpromise alikuja..kufunua kasuku nikafaint. kumbe nilibeba Mafuta ya KUPIKA💔💔💔💔💔💔 wacha nilie kidogo narudi kumalizia story😭😭
Tag classmate wako mmoja mwenye unajua anakuanga Facebook na umwambie k**a ameona hii 😂🤣🤣
Continue following our page wenye hawajatufollow 🙏🙏 Am Shepherd Pillow 💪🙏