Dr Mlingo Makkah na Madina dawa za Asili

Dr Mlingo Makkah na Madina dawa za Asili Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Mlingo Makkah na Madina dawa za Asili, Grocers, Abdulimlingo, Ukunda.

Tumia karafuu,chumvi ya mawe na udi kutoa vifungo vya kichawi ama kusafisha nyota.Chukua sufuria kubwa bandika maji yaku...
20/03/2025

Tumia karafuu,chumvi ya mawe na udi kutoa vifungo vya kichawi ama kusafisha nyota.

Chukua sufuria kubwa bandika maji yakuoga tia karafuu tembe 7 chukua udi kata vipande 7 chukua chumvi ya mawe tia katika maji uliyoweka kwenye sufuria lako.tia chumvi katika jiko/moto unaowaka tia vipande vyengine 7 vya udi katika jiko na tembe 7 za karafuu weka jikoni kisha sema maneno

Wewe ni sabuni ya utakaso naukatakase mwili,roho,nyota na maono yangu ya siku zijazo nauamuru uchawi na vifungo katika nyota vitoke na kupotelea katika sayari ya waovu niache nikiwa msafi na mwenye utakaso irudi nuru yangu na ubaki ukuu wangu iwe taa yakumlika na kuumbua wabaya katika uchawi mweusi ikasimame na kuwa kinga katika nuru yaende nayafanyike yale niyatakayo kwa mapenzi yangu.

kisha unalibandika sufuria la maji uliloweka vipande 7 vya udi tembe 7 za karafuu na chumvi ya mawe ndani yake yaache yachemke sana kisha tegua ukitamka haya

nakutegua uchawi,hila na laaana za watu wabaya nakugeuza na kukufanya ukawe tiba nakuitakasa nuru yangu.

weka kwenye ndoo ya maji nenda kaoge kwa kuyazunguusha maji yawe yanazunguuka duara ndio unachota unaoga hivyohivyo hadi yatapoisha ndani ya siku 7.

Na kabla yakufanya mambo haya uwe nauhakika ujakutana na mtu kimwili siku 7 zilizopita naufanye ndani ya hzo siku 7 na baada ya hapo ukae tena siku 7 yani siku 21 kamili usikutane na mtu kimwili 7 za mwanzo kujiandaa 7 za kati kutenda dawa na 7 za mwisho kukamilisha nguvu ya dawa

Dawa ya kila haja
21/08/2024

Dawa ya kila haja

21/08/2024

Address

Abdulimlingo
Ukunda

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Mlingo Makkah na Madina dawa za Asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category