Tuishi Viral TV

Tuishi Viral TV 🔥 Daily viral videos, funny moments, politics ,news, emotional stories & trending content from around the world. 🌍

18/06/2026

Heche: 'Sisi si watu wa vurugu, tunapenda amani.' Je, ujumbe huu una maana gani kwa mustakabali wa siasa Tanzania? 🤔"





Familia ya Frank Tairo wa Vikindu, Pwani wanamtafuta binti yao Philomena Frank Tairo (15), mwanafunzi wa kidato cha tatu...
18/06/2026

Familia ya Frank Tairo wa Vikindu, Pwani wanamtafuta binti yao Philomena Frank Tairo (15), mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Maliasili, ambaye alitoroka nyumbani Mtaa wa Kamegere, Vikindu tangu tarehe 17 April 2026. Jitihada mbalimbali za kumtafuta zimefanyika bila mafanikio. Taarifa imetolewa Kituo cha Polisi Vikindu kwa jalada nambari VKN/RB/1740/2026. Yeyote atakayemuona apige simu 0712551042 au 0616256656, au atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilichopo karibu naye.!
SHARE KWA WENGINE BINTI APATIKANE

Bei ya mafuta duniani imeripotiwa kushuka kufuatia taarifa za makubaliano ya awali ya kusitisha mapigano kati ya Marekan...
18/06/2026

Bei ya mafuta duniani imeripotiwa kushuka kufuatia taarifa za makubaliano ya awali ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran, hatua inayodaiwa kufungua njia ya mazungumzo ya siku 60 ya kumaliza mzozo huo.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian wamesaini makubaliano ya awali yanayolenga kupunguza uhasama uliokuwa ukihusishwa na mashambulizi ya kijeshi yaliyotokea mwishoni mwa mwezi Februari.

Makubaliano hayo yanadaiwa kujumuisha hatua kadhaa, ikiwemo kufunguliwa kwa Mlango wa Bahari wa Hormuz kuondolewa kwa baadhi ya vizuizi vya kijeshi baharini, pamoja na kuanzishwa kwa mfuko wa dola bilioni 300 kwa ajili ya ujenzi upya wa Iran.

Vilevile, Iran imekubali kupunguza shughuli za urutubishaji wa urani chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa, huku suala la ushiriki wa makundi ya kikanda k**a Hezbollah likibaki kuwa nyeti kutokana na kuendelea kwa hali ya sintofahamu Mashariki ya Kati.

Hata hivyo, bado hakuna uthibitisho wa moja kwa moja kutoka kwa pande husika kuhusu maelezo yote ya makubaliano hayo, hivyo taarifa hizo zinaendelea kufuatiliwa kwa karibu.

wezee kijana wenu ametubu
18/06/2026

wezee kijana wenu ametubu

I'm on the weekly engagement list for mbux and 4 others.
18/06/2026

I'm on the weekly engagement list for mbux and 4 others.

yaan nakula ugali mboga ni picha yako na nashiba kabisa ase Faida Emmanuel utamuwako ni zaidi ya kitimoto
18/06/2026

yaan nakula ugali mboga ni picha yako na nashiba kabisa ase Faida Emmanuel utamuwako ni zaidi ya kitimoto

18/06/2026

Heche afunguka kuhusu gharama anazotumia kwa siku. Je, kiasi hicho kinakushangaza? 🤔"





 : Kuelekea kilele cha tamasha kubwa la vijana na fursa la Tanzania ya Thamani (Tunu Yetu) linalotarajiwa kufanyika kesh...
18/06/2026

: Kuelekea kilele cha tamasha kubwa la vijana na fursa la Tanzania ya Thamani (Tunu Yetu) linalotarajiwa kufanyika kesho Juni 19, Mlimani City Dar es Salaam, Mhe. Kassim Majaliwa (KASSIM MAJALIWA MAJALIWA), Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangazwa kuwa ndiye Mgeni Rasmi.

Hili ni tamasha litakalotoa fursa kwa vijana wazalendo wenye ndoto kubwa ya mafanikio binafsi kwa kuchangia nguvu kazi ya taifa kwa ujumla.

ila watu wamepinda
18/06/2026

ila watu wamepinda

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hakuna Mtanzania anayenyimwa huduma za matibabu akiwa sehemu yoyote ya Muungan...
18/06/2026

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hakuna Mtanzania anayenyimwa huduma za matibabu akiwa sehemu yoyote ya Muungano, kwani sera na sheria za nchi zinahakikisha wananchi wanapata matibabu bila kujali eneo walilopo.

Akijibu swali Bungeni jijini Dodoma katika Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo lililoulizwa na Mbunge wa Segerea, Dar es Salaam, Agnesta Lambart, Dkt. Mwigulu amesema Mtanzania mwenye kadi ya NHIF anaweza kupata matibabu katika hospitali za Zanzibar na Bara, huku Mzanzibar mwenye kadi ya ZHIF akipata huduma popote nchini kulingana na taratibu zilizowekwa.

Ameeleza kuwa wananchi wasio na kadi za NHIF au ZHIF watapatiwa matibabu kwa kuzingatia masharti ya bima walizonazo au kwa kulipia huduma kwa fedha taslimu kulingana na aina ya matibabu wanayohitaji.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255784068610

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuishi Viral TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category