29/08/2024
MKOMBOZI WA WAKULIMA NI SUPER GRO MBOLEA PEKEE YENYE MADINI YOTE MUHIMU KWA AJILI YA MIMEA NA ARDHI
Mbolea zote za kilimo zinapaswa kuwa na madini muhimu ambayo mimea inahitaji ili kukua vizuri na kuzalisha mazao bora na mengi. Hapa ni baadhi ya madini muhimu yanayopatikana kwenye mbolea hii ya SUPER GRO.
1. *NITROGENI - Haya ni madini muhimu kwa ukuaji wa majani na mizizi. Inasaidia mimea kuzalisha klorofili, ambayo ni muhimu kwa mchakato wa usanisinuru (photosynthesis). Ukosefu wa nitrojeni unaweza kusababisha majani kuwa na rangi ya njano.
2.*PHOSPHORUS -Haya ni madini muhimu kwa ukuaji wa mizizi,maua,na matunda. Pia husaidia mimea kubadilisha nishati inayopatikana kutoka kwa mwanga wa jua kwenda kuwa nishati inayoweza kutumiwa kwa ukuaji.
3.*POTTASIUM(K) -Husaidia kuimarisha uwezo wa mimea kuhimili magonjwa, kuhimili ukame, na kuboresha ubora wa matunda. Potasiamu pia husaidia katika mchakato wa usafirishaji wa virutubishi ndani ya mimea.
4. CALCIUM(CA)- Kalsiamu ni muhimu kwa ukuaji wa seli za mimea na kuimarisha kuta za seli. Pia inasaidia kupunguza athari za asidi kwenye
5:*MAGNESIUM(MG)-Ni sehemu ya klorofili, na hivyo ni muhimu kwa uboreshaji wa mimea na kutoa mazao makubwa Magnesiamu pia inasaidia katika usafirishaji wa fosforasi ndani ya mimea.
6.*SULPHUR( S) -Ni sehemu ya protini muhimu sana na husaidia katika kulisha mmea na kukinga mmea dhidi ya jua
Salfa pia inasaidia katika ukuaji wa mizizi na kuzalisha harufu na ladha kwenye baadhi ya mimea.
7.*IRON(FE) -Ni muhimu kwa uzalishaji wa klorofili na husaidia mimea kuepuka klorosi (kukosa rangi kwenye majani).
Madini haya ni muhimu sana katika mazao ndio maana ni muhimu kuyajua haya kabla ya kuchagua mbolea utakayotumia kwani baadhi ya Mbolea husababisha uharibifu wa Ardhi hvyo kusababisha Ugumba wa ardhi( Ardhi kutozaa mazao yanayotakikanika)
NIPIGIE HIVI LEO ILI IPATE MBOLEA YENYE MADINI BORA NA MUHIMU KATIKA MAZAO YAKO ILI UVUNE MAZAO MENGI ZAIDI YA UNAVYOVUNA KWA SASA
NAKUHAKIKISHIA HUTAJUTA KUTUMIA MBOLEA HII
PIGA SIMU: 0747334480.
DELIVERY🚚🚚🚚🚚 FREE KWA DAR ES SALAAM
MIKOANI UTALIPIA UKISHAPOKEA MZIGO WAKO.