Zawadi ONDOA Uchafu sugu kwenye masinki na tiles

Zawadi ONDOA Uchafu sugu kwenye masinki na tiles TUNAKUPA DAWA YA KUONDOA UCHAFU SUGU KWENYE MASINKI NA TILES KIFANYE CHOO CHAKO KIWE NA MNGA'O.

16/03/2023

Dawa ya kuondoa UCHAFU SUGU kwenye masinki na tiles kwa muda mfupi bila kutumia gharama kubwa

K**a bado una changamoto ya choo au tiles zako kuwa na uchafu sugu mpaka kupelekea harufu mbaya na kufanya ujionee aibu ...
06/03/2023

K**a bado una changamoto ya choo au tiles zako kuwa na uchafu sugu mpaka kupelekea harufu mbaya na kufanya ujionee aibu mara tu unapotembelewa na wageni nyumbani naomba nikwambie hili tatizo linakwisha ndani ya muda mfupi na hii dawa yetu

Nyumba ni choo je? umetumia dawa gani kuondoa kutu sugu kwenye sinki la choo? Wakati ni sasa usiendelee kupata shida na ...
05/03/2023

Nyumba ni choo je? umetumia dawa gani kuondoa kutu sugu kwenye sinki la choo? Wakati ni sasa usiendelee kupata shida na kuingia gharama kubwa kutatua changamoto hii. Nakupa Dawa ya kuondoa UCHAFU SUGU kwenye masinki na tiles kwa muda mchache sana dawa hii imetumiwa na watu wengi sana kupata matokeo chanya k**a bado hujaipata fanya kuitafuta ung'arishe choo chako

Tatizo la uchafu sugu kwenye masinki ya chooni na tiles limekua ni kero kwa watu wengi katika familia nyingi na sehemu m...
02/03/2023

Tatizo la uchafu sugu kwenye masinki ya chooni na tiles limekua ni kero kwa watu wengi katika familia nyingi na sehemu mbalimbali za biashara hii ni kwa sababu watu wengi wemekuwa wakitumia gharama kubwa kutatua tatizo hili mpaka wengine huamua kubadilisha na kununua mansiki mapya tena au kubadili tiles ambapo ni gharama huwa ni kubwa sana, kwa changamoto hiyo nimekuandalia njia nzuri ya kumaliza tatizo hili kwa kutumia muda mfupi na gharama kidogo. Usiendele kupata fedheha ya kutofurahi muonekano wa choo chako hii dawa inaondoa UCHAFU SUGU wote na kurudisha MNGA'O kwenye masinki na tile.

Address

Dodoma

Telephone

+255710399042

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zawadi ONDOA Uchafu sugu kwenye masinki na tiles posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Zawadi ONDOA Uchafu sugu kwenye masinki na tiles:

Share

Category