Father’s love Service Online Store

Father’s love Service Online Store Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Father’s love Service Online Store, New York, NY.

10/16/2025

Ndivyo Ya takavyo kuwa hivi
Na zaidi Ya hapa. Huu ni mfano tu wa Jisi itakavyo kuwa.
Mpokee Kristo Bwana Yesu awe Bwana katika maisha Yako.
And this is how it will be and more than that
This is just a pretended Video of what it will be on Judgment Day
Accepted Lord Jesus Christ today He’s calling You on this Preaching

10/11/2025

1 Timotheo Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu

08/06/2025

Celebrating my 6th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

“Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria, ku...
12/25/2024

“Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria, kusudi awakomboe hao waliokuwa chini ya sheria, ili sisi tupate kupokea hali ya kuwa wana.”
‭‭Gal‬ ‭4‬:‭4‬-‭5‬ ‭

“Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema, Atukuzwe Mungu juu mbin...
12/25/2024

“Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema, Atukuzwe Mungu juu mbinguni, Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.”
‭‭Luka 2‬:‭13‬-‭14‬ ‭

10/29/2024
Zaburi 89:18 Maana ngao yetu ina BWANA, Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli. For the LORD is our defence; and th...
10/14/2024

Zaburi 89:18 Maana ngao yetu ina BWANA, Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli.
For the LORD is our defence; and the Holy One of Israel is our king.

Address

New York, NY

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Father’s love Service Online Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Father’s love Service Online Store:

Share