16/03/2023
Si tulisema tunaenda kutengeneza serikali ya ma hustler sindio, serikali ya hawa mama mboga na watu wa bodaboda sindio?Ebu niwaulize,ety mnataka serikali ya dynasty ama ya hustlers?Ndo maana nasema bottom up.Wangapi wanasema bottom up nione kwa mikono,,,salaaala kumbe nyinyi wote ni wangwana...