Ibrahim Lukole Amos

Ibrahim Lukole Amos Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ibrahim Lukole Amos, Grocers, Kenya Nairobi, Eldoret.

Taifa Leo, Alhamisi, Juni 13, 20241. AENDA KUZIMA MLIPUKO MLIMANI - Rais Ruto katika ziara Mt Kenya huku malumbano yakic...
13/06/2024

Taifa Leo, Alhamisi, Juni 13, 2024
1. AENDA KUZIMA MLIPUKO MLIMANI - Rais Ruto katika ziara Mt Kenya huku malumbano yakichacha
2. Maelfu ya wanafunzi wakosa kurudi shule
3. Afueni deni la kahawa likifutwa

26/05/2024

With God nothing is impossible

Taarifa ya huzuni Kenya leo ni kwamba Chopa la KDF iliyokuwa imembeba mkuu wa majeshi ya ulinzi General Francis Ogola im...
19/04/2024

Taarifa ya huzuni Kenya leo ni kwamba Chopa la KDF iliyokuwa imembeba mkuu wa majeshi ya ulinzi General Francis Ogola imeanguka na kuteketea moto maeneo ya Kabel Elgeyo Marakweke Pokot Maghribi hapo jana tarehe 18 April na saa nane dakika 20 😭😭😭😭😭
huku iki sadika kuwa amefariki pamoja na maafisa wengine wa kijeshi wa ngazi za juu. 😭😭😭😭😭

14/04/2024

Happy Sunday to you❤️❤️

Yakobo 1:2-4
[2]Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali;
My brethren, count it all joy when ye fall into divers temptations;
[3]mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.
Knowing this, that the trying of your faith worketh patience.
[4]Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa na neno.
But let patience have her perfect work, that ye may be perfect and entire, wanting nothing.

Address

Kenya Nairobi
Eldoret

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ibrahim Lukole Amos posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category