Dzitu Dziru

Dzitu Dziru Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dzitu Dziru, Grocers, Mombasa.

12/05/2026

Big shout out to my newest top fans! Mwanajuma Se, StarLim Sarlim

DUNIA INA SIKU TATU:      JANA :TULIKUWA NSYO ILA ILIPITA HAIRUDI😭        :  TUNAISHI NA MITIHANI MINGI😒 😒KESHO :HATUJUI...
11/05/2026

DUNIA INA SIKU TATU:
JANA :TULIKUWA NSYO ILA ILIPITA HAIRUDI😭
: TUNAISHI NA MITIHANI MINGI😒 😒
KESHO :HATUJUI ITAKUAJEπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Tuishi kwa kusameheana maisha fumbo mzuri wako huenda akawa adui yako kesho na adui wako akawa rafiki
wetu soteπŸ™πŸ™πŸ™

πŸ’―πŸ’―

Nyoka Mwenyewe alijua Mwanamke sio wakufata mkono mtupu akaenda na tunda,,,,, alafu kuna wewe apo sasa,, endelea ivo uta...
03/05/2026

Nyoka Mwenyewe alijua Mwanamke sio wakufata mkono mtupu akaenda na tunda,,,,, alafu kuna wewe apo sasa,, endelea ivo utalia Adi siku ya mwisho πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Sina ubaya ni mtazamo tuu


πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―

Furaha,,,,usoni isikudanganye ukadhania tupo sawa,twavumilia hatuwezi sema tunayo pitia πŸ˜”πŸ˜”πŸ’―πŸ’―
02/05/2026

Furaha,,,,usoni isikudanganye ukadhania tupo sawa,twavumilia hatuwezi sema tunayo pitia πŸ˜”πŸ˜”πŸ’―πŸ’―

Katika njia moja ya mafanikio,,,,, chunga usiwambie mali yako marafiki zako ndo wachawi wako,,, tafakari πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ   dziru
01/05/2026

Katika njia moja ya mafanikio,,,,, chunga usiwambie mali yako marafiki zako ndo wachawi wako,,, tafakari πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ


dziru

Ukimia usikusumbue  jua  we ndo weeeβ€οΈπŸ’―πŸ’―β€οΈπŸ’―
23/04/2026

Ukimia usikusumbue jua we ndo weeeβ€οΈπŸ’―πŸ’―β€οΈπŸ’―

Kosa langu Moja limefuta uaminifu na wema wote kwako nimekua adui sasa,,,, ila usinitangazie waja ukawapa faida mana nin...
18/04/2026

Kosa langu Moja limefuta uaminifu na wema wote kwako nimekua adui sasa,,,, ila usinitangazie waja ukawapa faida mana nina aibu zako na madhaifu yako kibao nakustiri tuu🫡🫡🫡🫡
Nimeenda iviπŸšΆβ€βž‘οΈπŸšΆβ€βž‘οΈπŸšΆβ€βž‘οΈ

Ila maisha fumbo kila tatizo Lina jawabu tusichoke kupambana mbele kutamu,,,,, tupambaneni   wetu sote follow me
17/04/2026

Ila maisha fumbo kila tatizo Lina jawabu tusichoke kupambana mbele kutamu,,,,, tupambaneni wetu sote

follow me

Wamini sana kurogwa na kila ukipata kazi wasema sio  ndoto yako kwa kazi hio wataka kazi kubwa,,,, ivi ukizaliwa ulizali...
15/04/2026

Wamini sana kurogwa na kila ukipata kazi wasema sio ndoto yako kwa kazi hio wataka kazi kubwa,,,, ivi ukizaliwa ulizaliwa ukitembea ama kuongea,,,,???? Maisha hatua jikaze na upambane acha uvivu utatoboa,,


sikuzote

14/04/2026

With Dzitu Dziru – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers!

Address

Mombasa

Telephone

+254707962660

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dzitu Dziru posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category