05/09/2026
Na Vijana mkipeana mimba tafadhali go to the hospital and do what we call an Ultra sound. Ultra sound ni ile wanaekeleanga bibi kafimbo kwa tumbo namna hii,wanapiga yeye exray wanaona mtoto inakaa namna gani. It helps you know if your unborn child is healthy,or not,or if the developing problem can be handled.
Its very sad to see young parents deal with disabilities that could have been prevented. Unajua kusema ukweli ni heri kakiwa na shida ukatoe tu ile wakati kanatoshana na ngumi,mjaribu tena round two. Juu sasa kakizaliwa kakiwa na shida niivo,huezi rudi nyuma,ni upambane mpaka pale mwenyezi mungu atakufikisha. Huezi ua mtoto
Hebu tufanye hii kitu inaitw Ultra sound. Na wewe k**a kijana mwenzangu, k**a huna pesa ya ultra sound just DM me,unaimbie k**a nilikua hapo ukiskia msuri. Shenzi sana
Khabusie!