07/05/2026
Aki ni uchungu sana kwa wazazi wa huyu kijana,kisa tu na maana kitu inaitwa Insecurity 💔😢.
Huyu kijana alipata B+ huko Mumias West Subcounty na alikua anafanya biashara ya duka ili akienda Shuleni akue na pesa.Lakini jana wakora walimvamia mchana na kumuua 💔😢 RIP.