17/02/2025
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ โHili ni kanisa la Kipentecoster lenye misingi imara ambayo chimbuko lake ni ๐๐ข๐๐ฅ๐ข๐ ๐๐๐ค๐๐ญ๐ข๐๐ฎ ambayo ni Neno la ๐๐๐๐๐ aliye hai na wa kweli
misingi ya imani ya kanisa hili ipo (16) ambayo ni k**a ifuatavyo
1. ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba Maandiko yote yaliyopo kwenye ๐๐ข๐๐ฅ๐ข๐ ๐ญ๐๐ค๐๐ญ๐ข๐๐ฎ yaani ๐จ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ na ๐จ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
yamevuviwa kihalisi na ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ na ni Ufunuo wa ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ kwa mwanadamu, ni mamlaka ya mwisho ya imani yetu
(2Tim.3:15-17; 1The.2:13; 2Pet. 1:2)
2. ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ni mmoja tu aliye hai na wa kweli amekwisha kujifunua mwenyewe k**a โ๐๐๐๐ ๐๐๐๐โ wa milele, muumbaji wa mbingu na nchi na Mkombozi wa Ulimwengu na Wanadamu. Yeye pia amejifunua zaidi k**a mwenye kufuata mwenendo na ushirikiano na uhusiano katika
Baba,Mwana na Roho Mtakatifu
(Kumb. 6:4; Isa.43:10,11; Mat.28:19; Lk.3:22).
3. ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba Bwana Yesu Kristo ni ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ pamoja nasi aliye jifunua kwetu k**a Mwana wa Mungu na ana sifa zote za ๐-๐๐๐๐
(Yoh.1:1; 8:58; Isa.9:6; 1Yoh.5:20).
๐๐ป๐ด๐พ๐ผ๐พ๐ด ๐๐ด ๐๐๐๐บ๐ ๐๐ด ๐๐ธ๐๐ ๐พ๐
๐ผ๐๐๐
(๐ข) Kuzaliwa kwake na bikira (Mt.1:23; Lk.1:31:35).
(๐ข๐ข) Maisha yake ya ukamilifu yasiyo na dhambi wala makosa (Ebr.7:26; 1Pet.2:22).
(๐ข๐ข๐ข) Miujiza yake (Mdo. 2:22, 10:38).
(๐ข๐ฏ) Kazi yake ya malipizi juu ya msalaba (1Kor.15:3, 2Kor.5:21).
(๐ฏ) Ufufuo wake kimwili kutoka katika wafu (Mt.28:6; Lk.24:39, 1Kor.15:4).
(๐ฏ๐ข) Kutukuzwa kwake kwenye mkono wa kuume wa Mungu (Mdo.1:9; 11; 2:33; Fil.2:9-11; Ebr.1:3).
4. ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu akiwa mzuri na mwema, maana Mungu alisema: โNa tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetuโ. Hata hivyo mwanadamu kwa uasi wa hiari yake mwenyewe alianguka na kwa njia hiyo akajiletea mauti siyo ya kimwili tu, bali pia mauti ya kiroho ambayo ni kutengwa na Mungu (Mwa.1:26, 27; 2:17; 3:6; Rum. 5:12-19).
5. ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba tumaini la pekee la mwanadamu la ukombozi ni kwa njia ya damu ya Yesu Kristo,Mwokozi wetu iliyomwagika pale msalabani.
๐ด๐จ๐บ๐ฏ๐จ๐น๐ป ๐๐จ ๐พ๐ถ๐ฒ๐ถ๐ฝ๐ผ
1ยป๐๐๐ต๐ด
Tunaamini kwamba wokovu unapatikana kwa njia ya toba kutubu dhambi zote na kuziacha kisha kumgeukia Mungu.
2ยป๐พ๐๐๐๐ด๐๐ผ๐๐ผ ๐ต๐๐ด๐๐ด ๐๐ธ๐๐ ๐พ๐
๐ผ๐๐๐
Tunaamini kwamba ili uweze kuokoka unatakiwa kumwamini Yesu Kristo na kumkiri kwa kinywa chako kwamba yeye ni Bwana na Mwokozi wako.
Masharti haya yanafaida kubwa k**a vile
{๐ข} Kufutiwa dhambi zote
{๐ข๐ข} kuoshwa kwa kufanywa upya
{๐ข๐ข๐ข} kuzaliwa mara ya pili kwa njia ya Roho Mtakatifu,
{ ๐ข๐ฏ}kuhesabiwa haki kwa neema kwa njia ya imani,
Tunaamini mwanadamu hufanyika mrithi wa Mungu kulingana na tumaini la uzima wa milele (Lk.24:47; Yoh.3:3; Rum.10:13-15; Efe. 2:8; Tito 2:11; 3:5-17).
๐ผ๐บ๐ฏ๐จ๐ฏ๐ฐ๐ซ๐ฐ ๐พ๐จ ๐พ๐ถ๐ฒ๐ถ๐ฝ๐ผ
Tunaamini kwamba ushahidi wa wokovu upo wa namna mbili
{ ๐} Ushahidi wa ndani huu ni ushuhuda wa moja kwa moja wa Roho Mtakatifu (Rum. 8:16).
{๐๐} Ushahidi wa nje kwa watu wote ni maisha ya haki,ukamilifu,usafi na Utakatifu wa kweli
(Efe. 4:24; Tito 2:12).
6. ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tumepokea na tunayatendea Kazi maagizo tuliyo agizwa na ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ambayo ni k**a ifuatavyo
๐๐ต๐ด๐๐ผ๐๐ ๐๐ด ๐๐ด๐ฝ๐ผ ๐๐ธ๐๐บ๐ผ
Tunaamini juu ya agizo la ubatizo wa kuzamisha linatolewa katika Maandiko Matakatifu. Wote wanaotubu na kumwamini Kristo k**a Bwana na Mwokozi wa maisha yao wanapaswa kubatizwa kwa maji mengi yaani kuzamishwa.
Kwa njia hiyo, wanautangazia ulimwengu kwamba wao wamekufa pamoja na Kristo na pia kwamba wao wamefufuliwa pamoja naye ili kuenenda katika mwenendo mpya wa utakatifu na uzima wa milele (Mt.28:19, Mk.16:6; Mdo.10:47, 48; Rum. 6:4).
๐๐๐ป๐ผ๐
๐ผ๐พ๐ด ๐๐๐ด๐พ๐ด๐๐ผ๐น๐
Tunaamini juu ya meza ya Bwana ambayo ina mkate na matunda ya mzabibu ni mfano wa kuelezea ushirika wetu wa asili ya ki-Mungu na Bwana wetu Yesu Kristo (2 Pet.1:4). Ni kumbukumbu ya mateso yake na kifo chake (1Kor.11:26) na ni sharti kwa waamini wote hata ajapo Yesu Kristo mara ya pili.
7. ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐
๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba waamini wote wanatakiwa na wanayo haki ya kutafuta ahadi ya baba, yaani ubatizo wa Roho Mtakatifu, kulingana na agizo la Bwana wetu Yesu Kristo. Huu ulikuwa ni ujuzi wa kawaida kwa wote waliokuwemo katika kanisa la mwanzo la Kikristo. Pamoja na huo ubatizo huja uwezo kutoka kule juu (mbinguni) kwa ajili ya maisha ya utumishi, na kutolewa kwa karama pamoja na matumizi yake katika huduma (Lk.24:49; Mdo.1:4; 8; 1Kor.12:1-31). Ujuzi huu ni tofauti kabisa ingawa unalingana na ujuzi wa kuzaliwa upya (Mdo.8:12-17; 10:44-46;11:14-16; 15:7-9).
Pamoja na ujuzi huo wa ubatizo katika Roho Mtakatifu kunakuja ujuzi mwingine k**a kujazwa mpaka kufurika kwa Roho Mtakatifu (Mdo.2:43, Ebr.12:28), kujitoa kwa hali ya juu kwa ajili ya Mungu na kujiweka wakfu kwa ajili ya kazi yake (Mdo.2:42), pamoja na upendo wenye vitendo zaidi kwa Kristo na kwa Neno lake na kwa wanaopotea (Mk.16:20).
8. ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐
๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba ubatizo wa waamini katika Roho Mtakatifu unashuhudiwa kwa ishara ya nje iliyo ya kimwili ya kunena kwa lugha nyingine k**a Roho wa Mungu anavyowajalia hao kutamka (Mdo.2:4). Huku kusema kwa lugha ni sawa sawa na ile karama ya aina za lugha (1Kor.12:4-10,28) ingawa ni tofauti katika makusudi na matumizi.
9. ๐๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba utakaso ni tendo la kutengwa na kile kilicho kiovu na kujiweka wakfu kwa ajili ya Mungu (Rum. 12:1,2; 1Thes. 5:23; Ebr.13:12). Maandiko yanatufundisha juu ya maisha ya Utakatifu ambao pasipo huo hakuna mtu atakayemwona Mungu (Ebr. 12:12-14). Kwa uwezo wa Roho Mtakatifu sisi tunao uwezo wa kutii amri ile: โIweni watakatifu k**a mimi nami nilivyo Mtakatifuโ (1Pet. 1:15,16).
Hivyo ni wajibu kwetu k**a kanisa kuhakikisha kila mwamini anaishi maisha matakatifu yasiyo na dhambi wala mapungufu Utakaso huwa halisi katika mwamini kwa kugundua na kufahamu utambulisho wake na Kristo katika kifo chake na kufufuka kwake, na kwa imani akijihesabia kila mara kwamba yumo katika muungano huo, na kwa kutoa kila kiungo kila mara kwa utawala wa Roho Mtakatifu (Rum. 6:1-11;13; 8:12;13; Gal.2:20; Filp. 2:12; 13; 1Pet. 1:15).
10. ๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba kanisa ni mwili wa Kristo, makao ya Mungu kwa njia ya Roho, lenye vyeo vya ki-Mungu kwa ajili ya utimizo wa kazi yake kuu. Kila mwamini aliyezaliwa kwa Roho ni sehemu muhimu ya kanisa ambalo ni kusanyiko la wazaliwa wa kwanza Watakatifu walioandikwa majina yao Mbinguni (Efe.1:22;23; 2:22; Ebr.12:23).
11. ๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba huduma ya ki-Mungu pamoja na utumishi uliopangwa na maandiko umetolewa na Bwana wetu Yesu Kristo kwa makusudi matano:
(1) Kuhubiri injili kwa mataifa yote na ulimwengu wote (Mk 16:15);
(2) Kujengwa kwa mwili wa Kristo yaani kanisa (Efe.4:11-13);
(3) Kumuabudu Mungu katika roho na kweli (Yh.4:23-24);
(4) Kumtumikia Mungu (1Kor.12; Rum.12);
(5) Ushirika Mtakatifu (Mdo.2:42-46).
12. ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐-๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba uponyaji wa kimungu ni sehemu muhimu ya Injili. Kufunguliwa kutoka kwenye magonjwa na vifungo mbalimbali ni haki ya kila anayeamini
(Isa. 53:4; 5; Mt. 8:16;17; Yak. 5:14-16).
13. ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini juu ya ufufuo wa wale ambao wamelala katika Kristo na kunyakuliwa kwao pamoja na wale walio hai waliosalia mpaka wakati wa kuja kwake Bwana ndilo tumaini lenye baraka na lililo kuu la Kanisa (1Thes.4:16, 17; Rum. 8:23; Tito 2:13; 1Kor.15:51, 52).
14. ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐
๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kuja kwa Yesu Kristo mara ya pili ni pamoja na kunyakuliwa kwa Watakatifu ambalo ni tumaini lenye baraka, kukifuatiwa na kurudi kwa wazi kwa Kristo pamoja na Watakatifu wake kwa ajili ya kutawala hapa Ulimwenguni kwa muda wa miaka elfu moja (Zek. 14:5; Mt. 24:27;30; Ufu.1:7; 19;11-14; 20:1-6). Utawala huu wa miaka elfu moja utaleta wokovu kwa Israeli k**a taifa (Eze. 37:21,22; Zef.3:19, Zab. 72:3-8; Mika 4:3,4).
15. ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Tunaamini kwamba kutakuwepo na hukumu ya mwisho ambayo humo pia wafu waovu watafufuliwa na kuhukumiwa sawa sawa na matendo yao. Yeyote, ambaye hatakutwa ameandikwa katika Kitabu cha Uzima, pamoja na Shetani na malaika zake, mnyama na nabii wa uongo, watatupwa katika adhabu ya milele katika ziwa liwakalo moto na kibiriti, ambayo ni mauti ya pili (Mt. 25:46; Mk.9:43-48; Ufu. 19:20;20:11-15; 21:8).
16. ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
๐ง๐๐ฐ๐ฃ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ.๐๐ก๐ โช Kulingana na ahadi yake, tunatazamia mbingu mpya na nchi mpya ambamo haki yakaa ndani yake humo tutakaa na Mungu mwenyewe milele na milele (2Pet.3:13; Ufu. 21 na 22)
Ufunuo wa Yohana 21:4
Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
Neema ya Bwana Yesu Kristo
na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.
sisi niโช ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
โ๏ธ+255 692107628
๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ฉ๐๐ญ๐ข๐ค๐๐ง๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฆ๐ข๐ญ๐๐ง๐๐๐จ ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฏ๐ข๐ฅ๐ TikTok , Facebook, Instagram,You tube, Twitter kwa jina la๐.chc