Kisengese brayn

Kisengese brayn Digital creator
Email address; [email protected]
Phone number;0714079471

09/11/2025

With Musyi Fm – I'm on a streak! I've been a top fan for 10 months in a row. 🎉

18/03/2025
12/03/2025

With Alph Lukau – I'm on a streak! I've been a top fan for 3 months in a row. 🎉

Mimi ni house boy lakini mara mingi hua naiba wine🍾🍾 ya boss wangu Kisha naongeza maji Ndio boss asigudue🤭🤭.. mara kadha...
03/03/2025

Mimi ni house boy lakini mara mingi hua naiba wine🍾🍾 ya boss wangu Kisha naongeza maji Ndio boss asigudue🤭🤭.. mara kadhaa boss akihisi ladha tofauti anapokunywa ile wine🍷🥹🥹.
hivyo aligundua Kuna mchezo mchafu mimi nacheza kwa kukunywa wine yake then naongeza Maji🙄🙄Kwa bahati mbaya au nzuri akanifumania nikiweka Maji Kwa wine yake 🤭🍷lakini Mke wa boss alikua ananitetea ilikumthibitishia mkewe kua mimi ndiye culprit🤣
Boss alianza Kwa kuniuliza maswali🤭🤭.siku hiyo nilikuwa jikoni🙄boss na mkewe walikua sebuleni.

Boss::🗣️ Makumba
Me::🗣️yes boss
Boss::🗣️nani anakunywa wine Yangu
Me ::🤬kimyaaa sijibu kitu
Boss::🗣️ Makumba
Me :::🗣️Naam boss
boss::🗣️nauliza nani anakunywa wine Yangu halafu anaweka maji😠
Me ::🤬kimyaaa

boss akaamua anikute huko jikoni. akaingia jikoni akaniuliza Makumba 👇👇👇👇
Boss::👉 Kwa nini nikikuita unaitika lakini nikikuuliza swali unanyamaza🙄? Me nikamwambia "boss huku jikoni ndivyo kulivyo, unasikia ukiitwa jina lakini maneno mengine husikii, nak**a huamini Baki hapa jikoni me niende sitting room🙄

Nikaenda sitting room nikaanza kuita boss.

Me ::🗣️boss
boss ::🗣️naam Makumba
Me::🗣️saa sita usiku hua unaenda kufanya nini kwa room yahouse girl??
Boss::🤬kimyaaaa.
Me :::🗣️ boss
Boss::🗣️yes Makumba
Me ::🗣️nauliza ivi room ya house girl saa sita usiku unaendanga kufanya Nini?
Boss::🤬🤬kimyaaaa

Boss akatoka inje akasema "kweli Makumba huko jikoni mtu hasikii kitu labda jina.

Bibi ya boss akasema msinibebe ujinga ivio nyinyi Mbona sielewi😒😠

Me ::👉mama k**a huamini pia wewe enda uone.

Mama akaende jikoni

Me::🗣 nikaita ️mama
Mama::🗣️🗣️yeessss Makumba
Me ::🗣️hiyo mimba Niya boss ama ni yangu?
Mama::🤬🤬kimyaaaa
Me:::🤬mama nakuuliza hiyo mimba Niya boss ama ni Yangu.

mama akatoka inje akasema waah kweli huko unasikia jina tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃

Remember to follow my page ndo ukue unajua nikipost,

02/03/2025

Kwako... Kiberiti ni rhino sufuria ni Simba unga ni ndovu husband ni fisi wewe uoni unakaa na gamepark Kwa nyumba .😂😂😂💔👋

30/01/2025

With Musyi Fm – I just got recognised as one of their top fans!

Kamba divorce custom, Mbui ya ulee. 1 . Mbui ya ulee ndithinziawa musyi, ithinziawa kithekani2 . Mbui ya ulee nding'eawa...
24/01/2025

Kamba divorce custom, Mbui ya ulee.

1 . Mbui ya ulee ndithinziawa musyi, ithinziawa kithekani

2 . Mbui ya ulee nding'eawa na kavyu, yikaa kwitwa

3 . Mbui ya ulee ndiisawa ni aka( women)

4 . Mbui ya ulee ndiuawa na Masilia ma mbai

Wisi kyau kingi kuhusu mbui ya ulee???

If you don't raise your children well they'll end up supporting Manchester United
21/01/2025

If you don't raise your children well they'll end up supporting Manchester United

28/12/2024
TANGAZO MAALUM!!!⛔⛔kwa wale mnakuja Nyumbani This December.1. Kizungu miingi muache Nairobi.2. Hakuna kuona Tv asubuhi.3...
12/12/2024

TANGAZO MAALUM!!!⛔⛔kwa wale mnakuja Nyumbani This December.
1. Kizungu miingi muache Nairobi.

2. Hakuna kuona Tv asubuhi.

3. Hatuna kamba za kuanika Nguo anika kwa fence nanii!?🤣

4. Muachane na remotes , tunawach local stations, mamboo ya series muache Nairobi.

5. Mkikuja na mbwa slayqueens uku..mjue hatulali na mbwa ndani ya nyumba ..kanalala nje na kina simba na tusker.

6. Mkuje na maids, hakuna kubeba mtoto wa mtu.

7.Hatuwachotei maji ya kuoga, kila mtu mtoni na kibuyu.

8.Mkujie watoto na toys ,sio kuja kutunyongea paka na vifaranga.

9. Huku akuna maji ya dispenser.

10. Hakuna kupoint kuku na Funguo za gari.

11. After kuoga pelekea mzazi sabuni aoshe vyombo.

12. Ladies mambo ya kusema sijui baba Brayo hapendi hii, sijui hapendi Misheveve... oooo..oooo...umemjua tu the other day..sisi tumemuona akiokota chakula na Maembe chini na hajai gonjeka😂😂😂💔.

13. Hakuna kupembeleza mtoto wa mtu akule akikataa tunakula.

14. Mkuje na slippers na charger.

15. Kuoga ni Monday, Wednesday na Sunday mkuje na Bibles sio kutoa hizo masimu zenu kubwa kubwa Church.

16. Hakuna kumlikiwa usiku kwa choo...shimo unatafuta na mguu😂😂😂😂👋.... Is we together?? 🥴🥴

17. Hakuna Kutupa ugali imelala hiyo ndio es**rt.

18. mjue hakuna pillow,huku unaekelea kichwa kwa mikono ukilala.

19. Hakuna kulala hadi 9, kuamka ni 6:15

20. Huku Saizi tuko Hadi na Simu za Type C, Mi-Fi, power banks na earbuds mtafute vitisho zingine.

21. K**a umemaliza Kusoma na hujani follow, Kuwa mungwana, bless me with that click 🤣🤣
Na wenye hatujajenga tutalala kwa car hire zetu tu🤝🥂

Address

Kisengesebrian@gmail. Com
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kisengese brayn posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category