TIBA Asilia Na Dr Faridi

TIBA Asilia Na Dr Faridi Pata elimu sahihi ya tiba asilia kwakutumia simu yako ya mkononi na ushauri mbadala wa mahusiano.

"Hauwezi kutambua thamani ya afya mpaka uumwe. Hapo ndipo utachangamka kutafuta tiba, na badala ya tiba unapewa sumu".Ni...
12/01/2024

"Hauwezi kutambua thamani ya afya mpaka uumwe. Hapo ndipo utachangamka kutafuta tiba, na badala ya tiba unapewa sumu".

Nimefungua channel ya whatsapp ili kuwarahisishia zaidi watu wenye uhitaji wa kifahamu maradhi mengi na tiba zake. Natoa ushauri na kukupa dawa bila malipo ya aina yoyote.

KUUNGWA NI TSH 1,000 TU.

Kwa wale mliopo ndani ya channel ya STORI ZA KANUMBA kuungwa ni Tsh 300 tu.

Namba yakuomba kuungwa ni hii hapa ya Whatsapp 0685567633

ZINGATIA:
Hautoona thamani ya kufahamu Tiba mpaka utakapp patwa na maradhi.

04/01/2024

Kuna mtu kauliza inbox dawa ya kuacha punyeto. DAWA ni kuoa mke aliyeshika dini kwa vitendo na kauli. Kinyume na hapo hautaacha

03/10/2023

PATA DAWA YA:
U.T.I, Fangasi zote, Kuinua matiti, kusimama uume, ute ukeni, joto ukeni n.k
NIFATE INBOX
afya yako ni maisha yako

FAHAMU FAIDA YA KARAFUU KITIBA.ðŸŒī Karafuu ni moja ya zao linalolimwa kwa wingi visiwani zanzibar.ðŸŠī  Mara nyingi imezoelek...
03/10/2023

FAHAMU FAIDA YA KARAFUU KITIBA.

ðŸŒī Karafuu ni moja ya zao linalolimwa kwa wingi visiwani zanzibar.

ðŸŠī Mara nyingi imezoeleka kutumika katika chai na chakula, lakini kuna faida kubwa ya karafuu kitiba.

ðŸŒģ Nakutajia baadhi ya maradhi inayotibu:

01 } Husaidia usagaji wa chakula tumboni kwa haraka.
02 } Tiba ya maumivu ya tumbo.
03 } Tiba kwa wenye kusumbuliwa na kiungulia.
04 } Tiba ya meno na fizi zinazouma.
05 } Tiba ya pumu.
06 } Tiba ya kuongeza nguvu za kiume na kunenepesha uume kwa kuchanganya na mafuta ya zaituni,hapa utachukua unga wa karafuu,mafuta ya nyonyo... (maelezo zaidi nifate inbox)

ðŸŒģ Usisumbuke. Ingia inbox ntakusaidia kwa elimu na tiba...

💁‍♂ïļ ZINGATIA: hakuna huduma ya bure!

HII NI DAWA NAMBARI 1 INAYOTAKIWA KUWEPO NYUMBANI KWAKO. ðŸŠī Naweza kusema binaadamu wa sasa hatuna maarifa halafu tunajif...
02/10/2023

HII NI DAWA NAMBARI 1 INAYOTAKIWA KUWEPO NYUMBANI KWAKO.

ðŸŠī Naweza kusema binaadamu wa sasa hatuna maarifa halafu tunajifanya tunajuwa sana.

ðŸŠī Kila mtu anataka kujifanya anaweza hatajambo asilo lijua atakwambia "Hatak**a sijasoma hauwezi kunidananya"

ðŸŠī Mwanzo nilikuwanawafundisha watu tiba bila malipo. Niliwasikia wakibeza sana tiba nilizowaelekeza. Baadae nilipoanza kutengenea nakuziuza wateja wakawa wanakuja kununua, ndipo wakaanza kuja kuonba dawa bila malipo. Niliwabadirikia mpaka sasa nauza dawa sitaki kutoa elimu au dawa bila malipo... Thamani imeongezeka mpaka sasa wananiita Daktari wakati mwanzo walinichukulia k**a rafiki yao wa siku zote.

ðŸŠī Nilikuwa kimya kwamuda nilikuwa katika uchunguzi wa tiba.

ðŸŒģ Dawa niliyokuwekea pichani ni mmea mmoja uitwao Mwarobaini. Huo ni mmea unaotibu maradhi mengi sana na kwaharaka sana. Hakikisha mmea huo unaupanda nyumbani kwako na unafahamu matumizi yake.

Ukitaka kufahamu zaidi kuhusu mmea huu k**a vile maradhi unayotibu na namna ya kutumia njoo inbox kwangu hapa hapa facebook ntakusaidia.

ðŸŒī Zingatia kwamba hakuna huduma ya BURE ðŸŒī
Maelekezo yangu yatakusaidia sana.

TIBA Asilia Na Dr Faridi

07/09/2023
👉 Hii hapa dawa ya kubana uke, kuongeza joto kwenye mwili wa mwanamke na mwanaune, kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mw...
06/09/2023

👉 Hii hapa dawa ya kubana uke, kuongeza joto kwenye mwili wa mwanamke na mwanaune, kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume na mwanamke.

⚘ Zingatia: Ogopa sana dawa za kisasa. Zina madhara kwenye mwili wako k**a sio leo ni baadae. Tumia vyakula asilia na tiba asilia kupata maisha asilia.

👉 Chanzo kikubwa cha wanandoa kuchepuka nikukosa waliyoyatarajia ndani ya ndoa. K**a vile tendo la ndoa, ubunifu katika tendo la ndoa, furaha ya mapenzi na kuliwaziwa.

Kuhusu tendo la ndoa wanawake wengi wanafeli kwa bahati mbaya bila wao kujua wakiona ni kawaida tu. Leo ntazungumzia mambo mawili na dawa zake.

1: Kutibia maradhi ya uke k**a vile fangasi, UTI n.k
Dawa zake ntakufundisha kupitia page hii hii bure kabisa ujitengenezee mwenyewe nyumbani kwako. Kwa uwezo wa Mungu utapona kabisa UTI na FANGASI. Pia utakuwa mwalimu mzuri kwa wenzio.

◇ Maradhi hayo husababisha harufu mbaya ukeni inayosababisha mume kukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa. Unaweza kumpa akafanya mala moja tu akalala ukazania hana nguvu za kiume kumbe kaishiwa hamu kwa harufu hiyo.

◇ Maradhi k**a fangasi husababisha maumivu makali kwa mwanamke pindi anapofanya tendo hilo. Jambo hilo hupelekea mwanamke kuwahisha wahisha tendo ili apumzike maumivu. Na k**a akifanya asubuhi hatakuwa na hamu tena mpaka baada ya siku kadhaa. Hilo ni jambo ambalo mwanaume lijal hawezi kustahimili siku tatu mpaka nne bila kufanya. Hapo atatafuta michepuko na pesa atagawa huko huko kwakuwa wahuko wanafanya kazi kuliko wewe.

Mfano mzuri hata shuleni walimu wanawapa zawadi wanafunzi wa 3 wa mwanzo wanao fanya vizuri ingawa nyote ni wanafunzi na mnahaki sawa.

◇ TATIZO LA UKE KUWA MPANA: wengi wanasumbuka kutafuta dawa au ushauri bila kufahamu kuna dawa moja mujarab kabisa. Na dawa hiyo inatibu maradhi mengi kwa mpigo. Lakini tatizo wengi wanayo dawa feki sio original. Ukienda kaliakoo utaambiwa huyo dawa ni oroginal kumbe ni feki. Watakuuzia mpaka elfu 20 wakikwambia ni original kunbe feki. Matokeo yake ukienda kuitumia unafeli katika kila tatizo utakalo tibia. Hapo utaamini hiyo dawa haitibu kumbe umenunue feki.

HIYO INATIBU:

◇ Matatizo ya mapepo (majini)
Wanaitumia mpaka wachungaji
makanisani bila watu kujua.

◇ Joto kwenye mwili wa mwanamke au mume.
Kumbuka joto ndio utamu wa tendo.
K**a uke hauna joto
au mwili wa mwanamke,
Hakuna radha itakayo patikana.

♡ Hubana uke na kuwa k**a bikra akiitumia.
Hatak**a amesha zaa atakuwa k**a binti.
Kila akiitumia uke wake utakuwa k**a awali.


☝
DAWA HII SIITAJI BURE.

Ukutaka kufahamy jina lake tu ujatafute mwenyewe madukani ni tsh 5,000 njoo inbox kwangu.

K**A UNATAKA KUNUNUA KUTOKA KWANGU. Nifate inbox....

@

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA Asilia Na Dr Faridi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category