18/10/2022
Changamoto nyingi za zinaanzia kwenye Mfumo wa Mmengenyo wa chakula (utumbo mkubwa)hivyo ni muhimu kuhakikisha tunaweka sawa hii sehemu.
Zipo Dalili nyingi zinazoonyesha kuwa mfumo wako wa mmengenyo wa chakula hauko sawa ikiwa ni pamoja na
🥦Vidonda ya Tumbo
🥦Tumbo kujaa gesi
🥦Kutokupata choo au kupata choo kwa shida hi huwezakupelekea Ugonjwa wa Bawasiri
🥦Choo kinachoambatana na harufu kali sana na Damu
🥦Kiungulia
🥦Kuchoka sana na kulala ovvoovyo
🥦kukosa hamu ya kula
🥦Acid Reflux
🥦Kichefu chefu na kutapika
🥦Ngozi kubadilika na kukosa mvuto
🥦Kuumwa na kichwa mara kwa mara Wasiliana nasi kupata huduma Piga simu/wtsaap 0774067686