mzalendo haswa

mzalendo haswa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mzalendo haswa, Grocers, Tabata, Dar es Salaam.

CHARACTERISTICS OF GOOD LEADER (SIFA ZA KIONGOZI MZURI  Integrity -uadilifu kiongozi anapaswa kuwa mtu muadilifu asifany...
06/06/2024

CHARACTERISTICS OF GOOD LEADER (SIFA ZA KIONGOZI MZURI
Integrity -uadilifu kiongozi anapaswa kuwa mtu muadilifu asifanye shughuli kwa rushwa iwe ya ngono au pesa au kuwabaguwa anao waongza kwa sababu ya kupishana mitazamo

Innovation -uvumbuzi, kiongozi anapaswa kuwa mtu mwenye uwezo wa kuvumbua mambo mbali mbali yatakayo pelekea kutimiza lengo usika
Vision -maono kiongozi anapaswa kuwa mtu mwenye maono ya mbali mbali yanayo weza kupelekea malengo ya chombo anacho kiongoza yakatimia
Passion - shauku kiongozi anapaswa kuwa mtu mwenye shauku ya kuona chombo anacho kiongoza kinakuwa kwa kasi ndani ya uongozi wake katika eneo analo liongoza

. communication -mawasiliano kiongozi anapaswa kuwa mtu anaweza kuwasiliana vizuri na anao waongza sio kiongozi akikosolewa ana wachukia wanaomkosoa na kuacha kufanya nao kazi
Empath -huruma kiongozi anapaswa kuwa mtu mwenye huruma ana wahurumia anao waongoza
courage -ujasiri kiongozi anapaswa kuwa mtu jasiri asiogopa anapo simamia haki

Mission -dhamira kiongozi anapaswa kuwa mtu mwenye dhamira ya kweli ilio mbatana na mikakati madhubuti

Commitment -Kujitolea kiongozi anapaswa kuwa mstari wa mbele katika kujitolea na kujitoa zaidi ili awe mfano wa anao waongoza
Respect -heshima kiongozi anapaswa kuwa mtu mwenye heshima kuwaheshimu wajuu yake na wachini yake

Imeandaliwa na mja mungu dhaifu mkuu wa kitengo cha siasa michezo na uhamasishaji JUV CUF TAIFA . IBRAHIM MOHAMED BAKONZI HAKI SAWA NA FURAHA KWA WOTEMUNGU WABARIKI VIONGOZI WA INCHI YANGU NA WACHAMA CHANGU NA WA TZ WOTE

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mzalendo haswa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category