16/02/2025
Legacy Herbal Clinic iliyopo Namanga Mabuchani Dsm Jirani na kituo cha polisi Oysterbay inatangaza nafasi za kazi(Mauzo:Sales)
*Nafasi 15.*
Kwa wale wote wenye nia ya kufanya kazi kwa kujituma ipasavyo.
Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea,Elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea.
Jinsia(Ke tu) wa kiume watapewa nafasi kiasi zaidi wanahitajika wa k**e.
Mshahara ni laki 2 kwa mwezi.
Majukumu:Kuuza Dawa za Asili ambapo mnakuwa mnauza ofisi-ofisi.
NB:kutakuwa na Usahili Siku ya Jumamosi 8/02/2025 kuanzia saa 2 Asubuhi Mwisho saa 4 Asubuhi.
Nyote mnakaribishwa.
Kwa mawasiliano au maelekezo zaidi Karibu inbox.
Call/Whatsapp:0654109088/076493698