Mo bisk jr

Mo bisk jr Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mo bisk jr, Grocers, Tanga.

PAPE SAKHO๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ AIPA SIMBA BILIONI 2 ๐Ÿšจ DEAL DONE: Uongozi wa klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Metropol inayoshirik...
24/07/2023

PAPE SAKHO๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ AIPA SIMBA BILIONI 2

๐Ÿšจ DEAL DONE: Uongozi wa klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Metropol inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Ufaransa ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท umethibitisha kukamilisha rasmi uhamisho wa winga Pape Sakho kutoka Simba kwa ada ya Euro 750,000 (Sh 2bilioni).

๐Ÿšจ TAARIFAAliyekuwa   wa ligi ya wanawake msimu uliopita akiwa na magoli 1๏ธโƒฃ7๏ธโƒฃ na mchezaji wa timu ya Simba Queens ๐Ÿ‘‘  am...
24/07/2023

๐Ÿšจ TAARIFA

Aliyekuwa wa ligi ya wanawake msimu uliopita akiwa na magoli 1๏ธโƒฃ7๏ธโƒฃ na mchezaji wa timu ya Simba Queens ๐Ÿ‘‘ ametimkia China kujiunga na timu ya Beijing jingtan Football Club.

Jentrix amewashukuru uongozi mzima wa Simba pamoja na mashabiki wote kwa ujumla kwa support na upendo wenu kwake.

Tunamtakia kila la kheri huko aendapo.

๐Ÿ™

24/07/2023

ASANTE MUNGU KWA KUTUAMSHA SALAMA TUNAOMBA BARAKA ZAKO KATIKA KAZI ZETU BARIKI FAMILIA ZETU TUONGOZE KATIKA MAPITO YETU EWE MWENYEZI MUNGU TUSAMEHE TUNAPOKUKOSEA NA UTUPATIE RIDHIKI YETU,WAPONYE WAGONJWA,WAFARIJI WENYE KUKUHITAJI NA UKAWE NAO WOTE WALIOKO SAFARINI MWANZO HADI MWISHO.

๐ŸšจHimid Mao Mkami (30) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ amejiunga na Tala'ea El Gaish SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Ghazl El Mahallah.  Himid...
23/07/2023

๐ŸšจHimid Mao Mkami (30) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ amejiunga na Tala'ea El Gaish SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Ghazl El Mahallah.

Himid Mao Amejiunga na Klabu hiyo Baada ya Klabu yake ya Zamani ya Ghazl El Mahallah Kushuka daraja.

23/07/2023

Nenda kwenye maduka 5 ya nguo, kila duka jaribu nguo halafu piga nazo picha na kurudisha dukani. Hapo unakuwa una picha 30 kila moja nguo yake๐Ÿ˜ƒbaada ya hapo post kila siku nguo tofauti kuchanganya watu wakahaha kwa maisha yako ya mtandaoni.

  Bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi amelipiza kisasi dhidi ya bondia wa Tanzania, Karim Mandonga kwa kumtwanga katika pam...
23/07/2023

Bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi amelipiza kisasi dhidi ya bondia wa Tanzania, Karim Mandonga kwa kumtwanga katika pambano lao lililofanyika siku ya jana jijini Nairobi, Kenya.

Hili lilikuwa pambano la marudiano ambapo katika pambano la kwanza lililofanyika Januari 14 mwaka huu nchini Kenya Karim Mandonga aliibuka mshindi mbele ya bondia huyo.

๐™ˆ๐˜ฟ๐™Š๐™‚๐™Š๐™’๐˜ผ๐™†๐™€ ๐™€๐˜ฟ๐™€๐™๐™Ž๐™Š๐™‰ ๐˜ผ๐™ˆ๐™€๐™๐™๐˜ผ ๐Ÿฆ!๐™Š๐™๐™๐™„๐˜พ๐™„๐˜ผ๐™‡: Klabu ya Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imetangaza kukamilisha Usajili wa golikipa wa Kimataifa wa Bra...
23/07/2023

๐™ˆ๐˜ฟ๐™Š๐™‚๐™Š๐™’๐˜ผ๐™†๐™€ ๐™€๐˜ฟ๐™€๐™๐™Ž๐™Š๐™‰ ๐˜ผ๐™ˆ๐™€๐™๐™๐˜ผ ๐Ÿฆ!

๐™Š๐™๐™๐™„๐˜พ๐™„๐˜ผ๐™‡: Klabu ya Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imetangaza kukamilisha Usajili wa golikipa wa Kimataifa wa Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท,Jefferson Luis mwenye umri wa Miaka 29 kwa Mkataba wa Miaka miwili.

Golikipa huyo ambaye ni pendekezo la Kocha, Robertinho amesajiliwa na Simba akitokea Klabu yake ya Resend FC ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท inayoshiriki Ligi Daraja la Nne Nchini Brazil na huku rekodi zikionesha kuwa Msimu huu amecheza mechi 10 na kutoka na Clean mbili na kuruhusu magoli 14.Tayari Luis ameshajiunga na Kambi ya Simba huko Uturuki.

22/07/2023
Karibu Simba SC, Hussein Kazi.Taarifa zaidi kuhusu usajili wake ingia kwenye Simba App.
20/07/2023

Karibu Simba SC, Hussein Kazi.

Taarifa zaidi kuhusu usajili wake ingia kwenye Simba App.

๐—ฅ๐—”๐—ฆ๐— ๐—œ CHILUNDA ๐—ก๐—œ ๐— ๐—ก๐—ฌ๐—”๐— ๐—”๐ŸฆMshambuliaji, ๐’๐ก๐š๐›๐š๐ง ๐ˆ๐๐ ๐‚๐ก๐ข๐ฅ๐ฎ๐ง๐๐š amejiunga nasi kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji hur...
20/07/2023

๐—ฅ๐—”๐—ฆ๐— ๐—œ CHILUNDA ๐—ก๐—œ ๐— ๐—ก๐—ฌ๐—”๐— ๐—”๐Ÿฆ

Mshambuliaji, ๐’๐ก๐š๐›๐š๐ง ๐ˆ๐๐ ๐‚๐ก๐ข๐ฅ๐ฎ๐ง๐๐š amejiunga nasi kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huruโœ๐Ÿฝ

๐‚๐ก๐ข๐ฅ๐ฎ๐ง๐๐š ni miongoni mwa washambuliaji wazawa wenye vipaji na uwezo mkubwa na tunaamini atakuwa msaada kwenye kikosi๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

Kwa nyakati tofauti ๐‚๐ก๐ข๐ฅ๐ฎ๐ง๐๐š ameichezea Azam Fc tangu akiwa kijana mdogoโœ๐Ÿฝ

๐‚๐ก๐ข๐ฅ๐ฎ๐ง๐๐š ni miongoni mwa wachezaji wazawa waliofanikiwa kucheza soka la kulipwa ambapo amewahi kuzitumikia, ๐‚๐ ๐“๐ž๐ง๐ž๐ซ๐ข๐Ÿ๐ž, na ๐‚๐ƒ ๐ˆ๐ณ๐š๐ซ๐ซ๐š zote za Hispania pamoja na ๐Œ๐จ๐ ๐ก๐ซ๐ž๐› ๐“๐ž๐ญ๐จ๐ฎ๐š๐ง ya Moroccoโœ๐Ÿฝ

Baada ya kusajiliwa ๐‚๐ก๐ข๐ฅ๐ฎ๐ง๐๐š amewaomba wanasimba tumpokee kwa mikono miwili pamoja na kumuombea ili atimize malengo ya klabu pamoja na yake๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

"Sina mengi ya kusema bali wanasimba wanipokee na waniombee, Nimekuja kufanya kazi ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฐ nitajitahid kwa kushirikiana na wachezaji wenzangu kuweza kushinda kila mechi na mataji klabuni," amesema ๐‚๐ก๐ข๐ฅ๐ฎ๐ง๐๐š๐Ÿ—ฃ๏ธ

karibu ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฐ Shaban Idd Chilunda๐Ÿ”ดโšช

#๐—ช๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐—ก๐—ฐ๐—ต๐—ถ
#๐—จ๐˜€๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฆ๐—ฐ2023
#๐—ก๐—ด๐˜‚๐˜ƒ๐˜‚๐— ๐—ผ๐—ท๐—ฎ๐Ÿฆ

Hii imeenda
20/07/2023

Hii imeenda

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mo bisk jr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category