Mpenda AMANI TZ

Mpenda AMANI TZ Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mpenda AMANI TZ, Grocers, New York, NY.

Baada ya kujifungua mume wangu alibadilika sana, kiasi kwamba nikasikia anatembea na majirani, sikuamini kirahisi ila da...
12/18/2025

Baada ya kujifungua mume wangu alibadilika sana, kiasi kwamba nikasikia anatembea na majirani, sikuamini kirahisi ila dalili nilianza kuziona kwani kila nilipokuwa napita mbele ya jirani hao walikuwa wanacheka tena kwa pamoja, nikajua kuna kitu kinaendelea tena nikafikiria na maneno ya mpambe aliyenieleza kwamba mume wangu anatembea na hao majirani nikaanza kuamini japo sikuwa na ushahidi wa uhakika. Nikaamua kumtrack mume wangu loo, anachart na jirani mmoja ambaye ni mke wa mtu na anamuhudumia kila kitu. Sikutaka kumsemesha mume wangu chochote bali nikamfoadia zile sms anazochart na yule jirani. TOKA JUZI ANAGOMBANA NA YULE JIRANI ETI ANAMUAMBIA WEWE NDIE UMEAMUA KUNIHARIBIA NDOA YANGU UMENICHOMA KWA MKE WANGU UMEMFOADIA SMS,😂😂😂😂 HUYO JIRANI HAELEWI NA HATA MUME WANGU HAELEWI NIMEPATAJE MAWASILIANO YAO. YANI KABURI WALILOCHIMBA WAMETUMBUKIA WENYEWE MAANA WAMEGOMBANA NA MIMI NIMELUDI KWETU . MTOTO WANGU ASIJE KUHARIBIKA.

N/b kwa huduma ya sms tracking yani kusomaa sms za mwenza wako bila yeye kujua mcheki kaka Simba Whatsapp tu 0710204647

Ni fimbo zilizotua kwenye mwili wa dada huyu bila huruma baada ya kumshuku mumewe kwamba ana mtu mwingine nje kutokana n...
06/07/2025

Ni fimbo zilizotua kwenye mwili wa dada huyu bila huruma baada ya kumshuku mumewe kwamba ana mtu mwingine nje kutokana na kwamba hatoi matumizi na pia halali nyumbani, dada huyu alimueleza mumewe kwamba kwa hayo anayoyafanya anahisi kwamba ana mtu nje, ndipo mumewe akamshushia kipigo kitakatifu, jambo ambalo halikufumbiwa macho na wazazi wa binti huyu. Ndipo mama wa binti huyu akaamua kumtrack mume wa binti huyu ili ajue nini kilichojificha nyuma ya pazia, ama kweli adui anayekuangamiza ni wa karibu nawe. NI KWELI ALIGUNDUA KWAMBA MUME WA MWANAE ANATEMBEA NA RAFIKI WA MWANAE NA VIPIGO VYOTE HIVYO NI ILI TU DADA HUYU AONDOKE ILI RAFIKI YAKE AINGIE KWENYE NDOA YAKE.

N/b usimuamini mtu chini ya jua ishi kwa makini binadamu waliowengi ni manyoka. Adui wa maisha yako ni yule wa karibu nawe.

KWA HUDUMA YA SMS TRACKING JIUNGE NA GROUP LETU WHATSAPP

https://chat.whatsapp.com/Ehnls2PphHU4wi2OJ0CZkk

😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mkasa wa kweli : NITLITUMIKISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA WA BOSI WANGU!Episode 1"Radhia mwanangu jiandae kesho...
01/13/2025

😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Mkasa wa kweli : NITLITUMIKISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA WA BOSI WANGU!

Episode 1
"Radhia mwanangu jiandae kesho yule mama atakuja kukuchua muende Dar es
salamu ukafanye kazi ili unisaide mama yako" Aliniambia mama. "Ila mama mi sipendi kwenda kufanya kazi kwenye majumba ya watu kwanini usinitafutie hata shule ya ufundi wa cherehani" Nilimuambia mama kwa kulalamika.

"Radhia wewe mwenyewe hali ya mama yako unaiona, sina kazi nategemea kilimo na mvua zenyewe ndio hizi za kusuasua hiyo hela ya kukupeleka shule ya ufundi nitaitoa wapi? Nenda tu mwanangu ukafanye kazi yule mama anaonekana sio mtu mbaya ukiishi naye vizuri hata ukimuomba akupeleke ufundi hatokataa" Mama alijaribu kunishawishi mpaka nikakubali.

Siku iliyofuata asubuhi na mapema, alikuja mama mmoja nyumbani akiwa na gari. Ndani ya gari lake kulikuwa na wasichana wengi wa rika langu na wengine walinizidi. Tayari nilikuwa nishajiandaa, yule mama akampa mama elfu kumi na kuniambia nimuage mama tuondoke. Nilimuaga mama huku roho ikiniuma k**a kidonda kilichotiwa chumvi, sikupenda kabisa kumuacha mama peke yake lakini ugumu wa maisha ya nyumbani kwetu ulinifanya nijitoe kwenda kufanya kazi ili baadae nije kuisaidia familia yangu.

Ilikuwa ni asubuhi ya saa mbili ndio safari ya kutoka kwetu kijiji cha Mawale mkoani kilimanjaro ilianza. Tukiwa njiani yule mama alianza kusema "Jamani wanangu mimi nimewatafuteni ninyi ili nikawatafutie kazi mjini, tukifika huko kuna watu watakuja kuchagua house girl ambaye wanataka basi ukibahatika utachukuliwa na mimi nitapata kitu kidogo kwahiyo niwaombe sehemu utakayochukuliwa uwe na adabu pamoja na nidhamu sawa" Alisema yule mama, wenzangu wakaitikia ila mimi mimi niliitika kwa ishara kutokana na mawazo niliyoanza kuyapata kutokana na kauli yake.

"Ahhh Mungu wangu kumbe tunapelekwa tena sokoni dah sasa kwanini huyu mama hakusema kauli yake mbele ya mama yangu" Nilijisemea mwenye huku nikimtazama yule mama kwa hasira. Tuliwasili Dar majira ya saa 9 jioni nyumbani kwa yule mama. Akatukaribisha vizuri sebuleni kisha akaanza kuwapigia watu wake na kuwaambia "Nimeleta mzigo mpya kutoka kijijini kabisa yani bado hata hawajajua kufua nguo za ndani" Alisema yule mama kwenye simu na kunizidishia hasira. Kwa kweli mimi katika maisha yangu sipendagi dharau hivyo kauli yake iliniuma sana.

Tulikaa hapo kwake mpaka saa mbili za usiku, ndipo alikuja baba mmoja pamoja na mkewe. Yule mama akaanza kuwaambia "Mali ndio hii hapa mshindwe wenyewe" Alisema yule mama huku yule mzee pamoja na mkewe wakiniangalia mimi sana na kusema "Huyu sisi ndio tumempenda kwani anaonekana bado mdogo hata ungo hajavunja" Ni kweli nilikuwa mdogo hata wanaume sikuwa najuana nao. "Haya nipeni changu muondoke naye" Alisema yule mama kisha mzee akatoa laki tatu na kumpatia.

Niliondoka nao mpaka nyumbani kwao,
walikuwa na nyumba ya kifahari sana yenye mageti zaidi ya mawili kwenda ndani na pia kulikuwa na ulinzi wa kutosha. Tuliingia nao ndani ambapo niliwakuta watoto wake wanne wakubwa kunizidi ila sio kivile yani naweza kusema walikuwa ni wa makamo yangu. Yule baba akamwambia mwanaye wa k**e, mpeleke huyu kwenye chumba kile anacholala Popi, sikujua popi ni mwanaume au mwaname au ni mnyama. Nilipelekwa hadi. ndani ya hicho chumba hakika nilistaajabu sana. Baada ya kumkumkuta msichana mkubwa kunizidi akiwa na vidonda vingi mwilini huku nzi wakimfuata. Alikuwa hoi k**a mtu anayekaribia kukata roho. Nikaachwa naye hapo ndani na kwakuwa alinizidi umri nilimsalimia, "Shikamoo dada" Aliniangalia huku akitokwa na machozi na kwa sauti iliyokosa matumaini akaniambia "Mdogo wangu naumia sana kukuona hapa, mwenzako mimi nipo hapa kitandani ni mwezi wa pili sasa, nililetwa hapa ili nimridhishe mbwa wa humu, nilikuwa napata maumivu makali wakati wakushiriki tendo na mbwa na hata nilipokataa yule mbwa alikuwa akining'ata, sasa hivi sijui naumwa na ugonjwa gani maana usaha uliombatana na maumivu makali unantoka sehemu za siri" Alisema yule dada nilishindwa kujizuia na kuanza kulia.
JE TUENDELEE AU TUSIENDELEE?

Share kwa wingi twende fasta

Address

New York, NY

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpenda AMANI TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category