Eagle fizi TV

Eagle fizi TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Eagle fizi TV, Grocers, Hanoi.

23/03/2026

Nilikuwa natembea tu mtaani… lakini inaonekana k**a nimetumia drone 😳πŸ”₯

Video hii nimeirekodi kwa kutumia Insta360 na selfie stick ya mita 3 β€” hakuna drone kabisa.

Teknolojia siku hizi ni kali sana πŸ‘€

Unasemaje, hii video inaonekana k**a drone kweli?
Andika maoni yako hapo chini πŸ‘‡

Follow page yangu kwa video zaidi za maisha halisi ya USA πŸ‡ΊπŸ‡Έβ€ Travel

10/01/2026

Video hii nimeirekodi ndani ya soko la Hanoi, Vietnam πŸ‡»πŸ‡³, nikionyesha
maisha halisi ya watu, biashara za kila siku na mazingira ya sokoni.

πŸ™ Dugu zangu, naomba sapoti yenu.
K**a unaangalia video hii, tafadhali like, share na follow β€” hata follow tu inanisaidia sana. Asanteni ❀️ , full video ipo YouTube sasa .

Travel OngeTravel

06/01/2026

Niki badili pesa za kimarekani πŸ‡ΊπŸ‡Έ dollars kwa pesa zaki Vietnam πŸ‡»πŸ‡³ full video ipo YouTube now

04/01/2026

Maisha Halisi ya Hanoi πŸ‡»πŸ‡³ – K**a Africa? 🌍
Tembea mtaani Vietnam na uone maisha halisi ya watu, biashara ndogo ndogo, na pikipiki nyingi!
πŸ’‘ Je, maisha ya Vietnam yanafana na Africa? Angalia full video kwenye YouTube – Onge Travel πŸ‘‡

πŸ‘‰ YouTube Link: https://youtu.be/moj30RANj04?si=aHwwD0Uthl1jeFD2

**aAfrica TravelReels OngeTravel AsiaVsAfrica ReelsTravel AfricaInAsia TravelVlog ShortVideo

31/12/2025

Sherehe za Mwaka Mpya Vietnam πŸ‡»πŸ‡³πŸŽ†
Maisha ya mitaani, furaha, taa, na muziki wa usiku πŸ”₯
Nali-recordi hili wakati nikiwa Vietnam, furahia pamoja nami! ❀️

ShereheZaMwakaMpya

29/12/2025

Najiskia vizuri kuishi VIETNAM πŸ‡»πŸ‡³ kwani hapa maisha RAISI sana k**a BINGO TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa full videos kuusu MAISHA ya Vietnam πŸ‡»πŸ‡³ LINK ipo kwenye BIO YANGU hapo juu tazama https://youtu.be/AVKfjojPVCc?si=QNMh0J8ovUTePZDW

28/12/2025

πŸŽ„ Christmas Parade vibes in Albuquerque, USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ
Real street celebration, lights, music, Santa πŸŽ…, and happy people enjoying the holiday season.

Street life in America during Christmas hits different ✨
Follow Onge Travel for more street life, travel & real culture videos 🌍

❀️ Like β€’ πŸ’¬ Comment β€’ πŸ“€ Share






USA
HolidayVibes
TravelContent

26/12/2025

Unaweza kuhisi nguvu ya jiji huku Hanoi? πŸ‡»πŸ‡³βœ¨
Video kamili ipo YouTube sasa! Fatilia maisha ya Hanoi na uone jinsi jiji lilivyo zuri.
”

Address

Hanoi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eagle fizi TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category